All Categories
Viwanja vya kujenga petrol station 0

Description

Eneo lenye kibali cha kujenga sheli(petrol station)Lina uzwa lipo mbezi malamba mawili morogo road Lina hati sqm 2579 Bei yake milioni 700 maongezi.Kiwanja Kingine cha kujenga Petrol station kipo Goba CCM ukubwa sqm 2400,Kina kibali cha NEMC,Bei yake kinauzwa milioni 450 tu.Kiwanja Kingine cha kujenga Petrol station kipo Mwongozo kigamboni kilometer 18 kutoka ferry ukubwa sqm 3120.Baada ya hiki kiwanja Hamna sheli(petrol station)nyingine yoyote mpaka unafika kimbiji center ambapo Approximately 30 kilometers kutoka sheli ilipo umbali mkubwa.Bei yake kinauzwa milioni 260 maongezi yapo.Kingine kipo mjini Magomeni njia ya kutoka magomeni moroco hotel kupitia tandale adi sinza madukani,kinauzwa milioni 500 tu vingine tunavyo njia ya morogoro road na Bagamoyo road.Kwa maelezo zaidi nipigie.

TSh 500,000,000

Viwanja vya kujenga petrol station

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
Jun 7
Seller description
** *** ****
Show number

Posted in

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
AD ID 1050005754

Report this ad