All Categories
SCANIA MULTI GARAGE/WORKSHOP REPAIR MANUAL SOFTWARE 0
1 / 12

Details

ConditionUsed

Description

SOFTWARE YA SCANIA INAYOKUSAIDIA KUTENGENEZA NA KUTAMBUA MIFUMO NA VIPURI VYA SCANIA INAFAA KWA WAMILIKI WA GARAGE, MAFUNDI, NA WAUZAJI WA VIPURI VYA SCANIA, WANAFUNZI WA MECHANICS

Scania Multi itakuwezesha kuchambua mifumo ya Maroli aina ya scania, Umeme, Engine, Gearbox na kadhalika itakupa uhakika wa namna ya kushughulika na matatizo yote ya scania, kujuwa kila kitu na namna ya kushughulika nacho, itakuelekeza kila kitu na kukuonyesha mahali kilipo namna ya kukitoa na kukirudisha, Kwa wale wataalamu zaidi wanaomiliki mashine za kupima Diagnosis Machine SDP3 inaunganishwa na kukupa fursa ya kuchimba kwa kina ili kujua kosa na sababu yake na namna ya kushughulika nalo, ni Wakati wakufanya kazi kiprofessional

Scania Multi is all Scania Trucks and Buses Workshop repair informations software that allow the user to familiarize with scania by identifying system upon system, way to access parts, assembling and disassembling, meaning and uses of components and devices, when combined with Scania Diagnosis and Programming SDP3 work efficiently to identify the meaning of diagnosed faults and the way to solve it in deep. It's time to work professionally.

TSh 200,000

SCANIA MULTI GARAGE/WORKSHOP REPAIR MANUAL SOFTWARE

Ilala, Ilala, Dar es Salaam
Apr 11
Seller description
** *** ****
Show number

Posted in

Ilala, Ilala, Dar es Salaam
AD ID 1050005041

Report this ad