All Categories
Nyumba ya kisasa inauzwa mbezi. 0
1 / 12

Details

Surface size500 m2
Bedrooms3
Bathrooms2
Broker feeNo
FurnishedNo
Pets allowedYes

Description

HOUSE FOR SALE

Hii nyumba inauzwa ipo mbezi mwisho njia mpya iliyowekwa lami (malamba mawili) kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 2.5 na kutoka lami mpya ya malamba ukishuka kwenye kituo hadi kwenye nyumba ni dk 5 tuu kwa miguu

Ina vyumba 4 vya kulala kimojawapo ni master, sebule,dining na jiko na choo cha familia

Ukubwa wa kiwanja ni meters 20/25

DOCUMENT: mauziona ya hati safi kutoka serikali ya mtaa

Bei ni milion 55 maongezi yapo mazuri tu kwa maelezo zaidi nipigie simu 0789 435704.

TSh 55,000,000

Nyumba ya kisasa inauzwa mbezi.

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
Apr 17
Seller description
** *** ****
Show number

Posted in

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
AD ID 1050005105

Report this ad