All Categories
Nyumba safi ya kifahari inauzwa ml 85. 0
1 / 8

Details

Surface size800 m2
Bedrooms7
Bathrooms5
Broker feeNo
FurnishedNo
Pets allowedYes

Description

Nyumba Safi ya kifahari inauzwa ina vyumba7 self contained 5 sitting & dinning room kitchen public toilet parking ndani ya fensi ina frem bili za maduka kwa nje na kisima cha maji nyumba nzuri Sana inauzwa milioni milioni 90 adi 85 maongezi yapo.Nyumba iko sehemu nzuri kwenye Kona ina faa kwa matumizi ya kuishi au kufanya hospital maeneo hayo hakuna hospital Dispensary karibu,Gest house, Hostel kutoka main road ni dk4 nyumba iko mbagala karibu na uwanja wa mpira Azam,kwa maelezo Zaidi nipigie simu.

TSh 85,000,000

Nyumba safi ya kifahari inauzwa ml 85.

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
Jun 9
Seller description
Chriss Real Estate Agency tz
Member since Jun 2016
** *** ****
Show number

Posted in

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
AD ID 1050005770

Report this ad