All Categories
NYUMBA KUBWA INAUZWA CHANIKA 0
1 / 4

Details

Surface size2200 m2
Bedrooms4
Bathrooms2
Broker feeYes
FurnishedNo
Pets allowedYes

Description

Iko ndani ya nusu eka na ina vyumba vinne vya kulala kimoja master, sittingroom, dining room, jiko na stoo, chumba cha kufulia, Aluminium windows, wiring na oplumbing tayari, blundering tayari, bado jipsum,tiles,rangi na milango ya ndani .ina servants quarter na choo cha nje. Umeme na maji viko jirani, kwa sasa kuna solar power.

Kituo cha masantula, ni km 1.5 toka lami.

Tel: 0656 33 50 33

TSh 80,000,000

NYUMBA KUBWA INAUZWA CHANIKA

Ilala, Ilala, Dar es Salaam
Mar 18
Seller description
Patrick
Member since Mar 2019
** *** ****
Show number

Posted in

Ilala, Ilala, Dar es Salaam
AD ID 1050004840

Report this ad