All Categories
Nice house for sale in Kawe center. 0
1 / 12

Details

Surface size700 m2
Bedrooms3
Bathrooms3
Broker feeNo
FurnishedNo
Pets allowedYes

Description

Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa ipo Kawe jirani na Tanganyika Peckars Ina vyumba 3 vyote master, kila chumba kina makabati,maji ya dawasco yanapatikana kwa wingi, plot size 700 sqmts, garden nzuri Ina servant quarters ya room moja. Nyumba ina title deed Ipo ndani ya fensi sehemu Safi kawe ni Karibu na mjini parking ya kutosha ipo

Bei Tzs million 200 maongezi kidogo. Kwa maelezo zaidi nipigie.

TSh 200,000,000

Nice house for sale in Kawe center.

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
May 9
Seller description
** *** ****
Show number

Posted in

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
AD ID 1050005332

Report this ad