All Categories
MERCEDES BENZ WORKSHOP INFORMATION SYSTEM (WIS/ASRA/EPC) SOFTWARE 0
1 / 12

Details

ConditionUsed

Description

SOFTWARE INAYOKUSAIDIA KUTENGENEZA MAGARI YOTE AINA YA BENZ, UMEME NA MATENGENEZO YA KAWAIDA NA MIFUMO YOTE

Je wewe ni fundi wa Magari au Muuza vipuri vya magari aina ya MERCEDES BENZ na bado unapata changamoto katika kutengeneza au kutambua vipuri, Programu hii WIS ; WORKSHOP INFORMATION SYSTEM na EPC : ELECTRONIC PARTS CATALOG itakusaidi kutambua vipuri, mifumo ya umeme(wiring) mahali kifaa husika unachotaka kushugulikia kilipo, namna ya kufunguwa kushusha ili kuweza kukifikia, namna ya kutengeneza, itakuelekeza maana ya makosa yaliyosomeka kupitia machine ya dignosis na kadhalika. Inawezekana pia wewe ni mwanafunzi wa ufundi wa magari na unataka kubobea kutengeneza magari ya Mercedes Benz, hii ndiyo ikayokusaidia kufikia malengo yako, changamka sasa usiendelee kuulizauliza we nunua hii hapa kisha umalizane na kila kitu.

1. WIS Service Repair Technical Information Workshop (1986-2017): The most detailed, comprehensive step-by-step procedures, explanations, and pictorial diagrams from bumper to bumper you will ever see. All major and minor service and repair instructions included.

2. WDS Wiring Diagrams (1986-2017): Every wiring diagram ever imaginable. From components to pins to connectors and much more. Fully interactive and user-friendly!

3. ETK/EPC Parts Catalog (Covers 1986-2017): The most detailed and extensive Mercedes Benz parts catalog on the Internet. Comes with exploded diagrams for a detailed analysis of all parts.

4. ETM Electronic Troubleshooting Manuals (1986-2017): Electronic wiring diagrams and connector view guides that complement the Wiring Diagrams.

5. ASRA (1986-2017): The ASRA module covers labor time estimates, job description and other specifications.

6. SSL (1986-2017): Damage code Database

A LIST OF WHAT IS IN THIS SOFTWARE:

Maintenance • Wiring Diagrams • Engine Repair

Transmission • Clutch • Suspension

Brake System • Steering

Bodywork • Electrical System

Parts Catalog • Troubleshooting

Technical Service Bulletins.....and lots more!

TSh 200,000

MERCEDES BENZ WORKSHOP INFORMATION SYSTEM (WIS/ASRA/EPC) SOFTWARE

Ilala, Ilala, Dar es Salaam
Apr 11
Seller description
** *** ****
Show number

Posted in

Ilala, Ilala, Dar es Salaam
AD ID 1050005040

Report this ad