All Categories
Hekari3 kasoro zinauzwa ubungo. 0
1 / 3

Description

Sqm10,268 sawa na Hekari3 kasoro zinauzwa maeneo ya ubungo zimepimwa zina hati(Title deed) ziko sehemu nzuri Sana hekari hizo zina gusa barabara ya lami kwa usafiri wowote unafika zinafaa kuweka kanisa kubwa,yadi za magari makubwa na madogo kupaki,ukumbi,shule,huduma yoyote inayo hitaji uwanja mkubwa au Uwekezaji wowote .Ubungo ni katikati ya huduma zote na usafiri kuna fikika kiurahisi na Uwekezaji bado ni mjini.Bei yake inauzwa dollar $ 1.3ml maongezi yapo,Mnunuzi serious anapunguziwa bei, Pia Hekari4 ziko kurasini maeneo ya sabasaba,Hekari4 mbezi beach,Hekari5 mikocheni pia Godown zipo za kupangisha na za kuuza,kwa maelezo zaidi contact me.

TSh 2,000,000,000

Hekari3 kasoro zinauzwa ubungo.

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
May 16
Seller description
** *** ****
Show number

Posted in

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
AD ID 1050005424

Report this ad