All Categories
Gorofa linauzwa mbezi beach Bei poa. 0
1 / 6

Details

Surface size600 m2
Bedrooms3
Bathrooms2
Broker feeNo
FurnishedNo
Pets allowedYes

Description

Gorofa la kisasa la Apartments tatu lina uzwa mbezi beach kila apartment ina room3 moja master sitting room na dining room. Ipo Mbezi beach Jogoo/Interchick Bei yake inauzwa nafuu milioni 250 adi 220 negotiable. Yafaa Sana kwa watu wastafu kuweza kujipatia kipato Cha ziada bila kutumia nguvu kubwa Kila apertment inapagishwa kodi laki tano kwa mwezi, Apertment ziko3, na kupata milioni moja na nusu kwa mwezi parking kubwa ipo, gorofa Safi halina mgogoro wowote Yafaa kwa kufanya office, Hospital, Hostel,Kuishi mwenyewe na kupangisha,Nyumba za kupangisha kibiashara sababu iko Karibu na Barabarani kwa maelezo zaidi nipigie 0789 435704.

TSh 220,000,000

Gorofa linauzwa mbezi beach Bei poa.

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
Apr 22
Seller description
** *** ****
Show number

Posted in

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
AD ID 1050005154

Report this ad