All Categories
Gari inauzwa safi Terios kids. 0
1 / 7

Details

MakeDaihatsu
ModelTerios
Type of car4 door
Year2001
Mileage80 km
ConditionUsed

Description

Gari ni mzuri namba DFY iko dar maeneo ya kinondoni engine Safi cc650 mafuta inatumia kidogo sana ina turbo kwa ajiri ya kupanda milima na Airbug na 4 weeldrive kwa ajili ya kupita kwenye matope na kwenye mchanga upati shida yoyote Full Ac,Full vibali vipo haijawai pigwa rangi inauzwa milioni 8 adi milioni 7.5 ina buti kubwa ya mizigo na juu unaweza weka caria ya mizigo mikubwa kwa maelezo zaidi nipigie Mimi ndio mmiliki moja kwa moja 0789 435704.

TSh 6,000,000

Gari inauzwa safi Terios kids.

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
Jun 8
Seller description
Chriss Real Estate Agency tz
Member since Jun 2016
** *** ****
Show number

Posted in

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
AD ID 1050005761

Report this ad