Browse By Category
Login
Eneo pamoja na ghorofa linauzwa Kahama mjini. 0
1 / 5

Description

-Eneo hili lipo Kahama mjini...pembeni ya barabara ya lami ya kutoka stendi kuu ya mabasi ya mikoani kwenda 'Phantom'... linatazamana na hospitali ya Igalilimi...ng'ambo ya pili ya barabara...(tazama picha).

-Eneo lina mita za mraba 4200...urefu ni mita 70...na upana ni mita 60..

-Eneo pia limepimwa na lina hati miliki..

-Wasiliana nami kwa namba za simu zifuatazo...

+255 768 645 744...au

+255 624 171 417..

TSh 350,000,000

Eneo pamoja na ghorofa linauzwa Kahama mjini.

Kahama, Kahama, Shinyanga
Dec 17
Seller description
** *** ****
Show number

Report this ad

Posted in

Kahama, Kahama, Shinyanga