Browse By Category
Login
Eneo linauzwa Kahama mjini.. 0
1 / 5

Description

-Eneo linapatikana pembeni ya barabara kuu ya lami inayotokea stendi kuu ya mabasi Kahama kwenda Phantom' (petrol station)..

-Unapofika usawa wa hospitali ya Igalilimi, lipo upande wa pili wa barabara, pembeni ya waosha magari na wauzaji wa 'fenicha' za nyumbani (tazama picha)... na nyuma yake lipo ghorofa lililozungushiwa mabati..

-Eneo hili lina ukubwa wa mita za mraba 3150...urefu wake ni mita 70 na upana wake ni mita 45...limepimwa na lina hati miliki..

-Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa namba za simu zifuatazo...

+255 768 645 744...au

+255 624 171 417..

TSh 190,000,000

Eneo linauzwa Kahama mjini..

Kahama, Kahama, Shinyanga
Dec 21
Seller description
** *** ****
Show number

Report this ad

Posted in

Kahama, Kahama, Shinyanga