All Categories
Digital blood pressure monitor machine 0
1 / 6

Description

New Bp blood pressure monitor machine.

Tuna uza kifaa

maalumu kwa ajili ya kupima body pressure.

Kwa matumizi yafwatayo;

1.Medical students, nurse

2. Nyumbani na offisini

3.Wagonjwa Wa pressure (Hypertension)

4.Hospital and dispensary

5.Wagonjwa Wa kiarusi (stroke)

Kifaa hiki kitakusaidai kujua afya yako mapema ukiwa nyumbani au office na kutuma taharifa zako kwa Doctor.

Presha ya kawaida isiwe zaidi ya 140/90mmlHg.

Presha ikiwa haitibiwi huharibu mishipa ya damu katika macho, misuli ya moyo kuwa minene , kusababisha mshutuko wa moyo (heart attack), mshipa ya damu safi kuwa migumu, figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure) na kiharusi (stroke).

Nunua kifaa hiki ujikinge na madhara yatokanayo na pressure

TSh 80,000

Digital blood pressure monitor machine

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
Apr 12
Seller description

Posted in

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
AD ID 1050005056

Report this ad