Browse By Category
Login
Computer Service Centre 0

Description

Brace-Tech Computers Service Centre

Karibu uonane na mafundi bora na wenye uwezo mkubwa kwenye matengenezo ya kompyuta yako:-

-Kuongeza nguvu ya kompyuta ( ram & processor upgrade)

-Kubadirisha housing, keyboard, dvd/cd rom, betri, charger,vioo...n.k

-Kutoa neno la siri bila kufuta taarifa zako

-Kutoa virus na kurejesha data zilizopotea

-Kuzimika ghafla, kuganda na tabia zozote nyingine zisizo sahii

-Elimu/maelekezo ya bure kwa matumizi bora na kutatua matatizo madogo kwa kompyuta yako(piga simu 8am-8pm)

USALAMA WA MALI YAKO NI JUKUMU LETU.

SIMU:

0655393385

0685659969

0765546823

bracetechcomputers@gmail.com

TSh 10,000

Computer Service Centre

Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
Jun 25
Seller description
** *** ****
Show number

Report this ad

Posted in

Temeke, Dar es Salaam, Tanzania