Browse By Category
Login
Bwawa la samaki linauzwa. 0
1 / 7

Details

  • Surface size4000 m2
  • Bedrooms2
  • Bathrooms1
  • Broker feeNo
  • FurnishedNo

Description

*NAUZA MABWAWA YA KUFUGIA SAMAKI*

*LOCATION KIGAMBONI KISOTA KM 6 TOKA FERRY KM 2 TOKA BARABARA YA LAMI DARESSALAAM TANZANIA*

___

AREA SIZE SQM EKARI 1

___

miundo mbinu yake imetengenezwa vizuri tayari kwa ajili ya ufugaji wa samaki

Ndani ya eneo kuna mabwawa mawili yaliyojengwa kisasa kila moja lina ukubwa wa 25 kwa 30 mita

Eneo lina fence ya waya ndani yake kuna nyumba ya vyumba viwili na choo kwa ajili ya walinzi

Pia ndani ya eneo kuna mabanda ya kufuga mifugo mingine mfano kuku, bata n.k

___

DOCUMENT SERIKALI YA MTAA

___

*BEI MILLION THEMANINI NA TANO TZS (85,000,000 TZS)*

Kumbuka biashara ya kufuga samaki Ina lipa kwa maelezo zaidi contact me 0789 435704.

TSh 85,000,000

Bwawa la samaki linauzwa.

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam
Nov 19
Seller description
** *** ****
Show number

Report this ad

Posted in

Kinondoni, Kinondoni, Dar es Salaam