Ad is not active - find similar ads in Electronics in Dar es Salaam CBD.

SMART COOKER - Jiko la kisasa la digital

Dar es Salaam CBD, Dar es Salaam Added at 10:58, 29 November 2016, Ad ID: 1000015521

TSh 250,000 Negotiable
Offer from Business
 

Habari njema Kwa wamama,wadada,bachelors na wanavyuo wa hostel,familia.
Okoa pesa,muda,nafasi,gharama kubwa za umeme na gas na matumizi ya vyombo vingi.

Tumia SMART COOKER - Jiko la kisasa la DIGITAL LINALOTUMIA UMEME MDOGO SANA KULITUMIA

BEI : Tsh 250,000/=

UKUBWA WAKE NI LITA - 5

Linapika vyakula vyote, ugali,wali nk
Haliunguzi Chakula,haligandishi Chakula(Non-stick) hivyo kupunguza matumizi ya Mafuta ya kupikia
Linachemsha supu,maji nk
Linakaanga chips,nyama,maandazi, nk
Linaoka cake,mikate nk
Linatost mikate nk
Linatengeneza pop corn
Linachoma nyama,mishikaki nk
Linatumika kama Oven,Microwave na Hotpot

SMART COOKER - Jiko la kisasa la digital Dar es Salaam CBD - image 2
SMART COOKER - Jiko la kisasa la digital Dar es Salaam CBD - image 3
SMART COOKER - Jiko la kisasa la digital Dar es Salaam CBD - image 4
SMART COOKER - Jiko la kisasa la digital Dar es Salaam CBD - image 5
SMART COOKER - Jiko la kisasa la digital Dar es Salaam CBD - image 6
SMART COOKER - Jiko la kisasa la digital Dar es Salaam CBD - image 7
SMART COOKER - Jiko la kisasa la digital Dar es Salaam CBD - image 8
Views:463