RAMANI Za Nyumba Za Kuishi Familia (BATI CHACHE 60 - 65 ), TOFALI CHA

Kinondoni, Dar es Salaam Added via phone at 18:04, 30 November 2016, Ad ID: 1000015546

Offer from Individual
 

Nyumba za Kitanzania za KUISHI FAMILIA sehemu NZURI na SALAMA,
Kwa AFYA, UHURU na FURAHA!

Zinatumia
Tofali chache (1400 - 2200)
Bati chache ( 60 - 65 )

Mpaka sasa tumeshashiriki zaidi ya MIRADI 100 ya ujenzi
= Tumeshawakabidhi WATEJA 59 design za nyumba zao za kisasa za kuishi mpaka leo
= ndani ya *mwaka huu* 2016 tumeshawakabidhi *WATEJA 24* design ya nyumba zao
= wastani wa 40% ya WATEJA wetu WAMESHAANZA michakato ya ujenzi wa nyumba zao
= wastani wa 36% ya WATEJA tuliwakabidhi design za nyumba ni *VIJANA CHINI ya MIAKA 30*

Lengo ni kuwezesha watu kuweza KUMILIKI nyumba zao za kuishi FAMILIA sehemu NZURI na SALAMA kwa AFYA, UHURU na FURAHA!

Ni *HAKI YAKO* na *UNASTAHILI KABISA* kuweza kuishi sehemu NZURI na SALAMA!

HAKIKISHA Mwisho wa mwaka unapomalizika

The OLX app is available for:
Android and iPhone

 Share via Email
Views:311

Contact advertiser

User Ads Lm

Ramani za nyumba

Ramani za nyumba

Other Services

26 Nov

Ramani za nyumba za kisasa

Ramani za nyumba za kisasa

Other Services

26 Nov

Send message
Kinondoni, Dar es Salaam Show on the map

Lm On site since Nov 2016 See their other ads Lm has verified:

  • Mark as Favourite
  • Print
  • Edit
  • Report